Posted on: October 23rd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Abubakar Mwassa ametangaza vita dhidi ya wakandarasi wanaofanya kazi Mkoani humo wasiotekeleza kazi zao kwa ubora unaotakiwa ambao amewaita ‘vishoka’ huku akiwataka...
Posted on: October 22nd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwassa ameagiza Wakala wa Baraba za Mijini na Vijini (TARURA) kutomlipa mkandarasi anayejenga barabara ya Kijiji cha Lulongwe, Kata ya Matuli Halmashauri ya Wilaya ya Mo...
Posted on: October 19th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Abubakar Mwassa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha zaidi ya shilingi Bil.21 kwa lengo la kuboresha Sekta ya Afy...