Posted on: January 17th, 2021
Wananchi wa Kijiji cha Wami Luhindo kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro wamehamasika kutoa michango yao wa kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi ili kuwaokoa watoto wao ...
Posted on: January 15th, 2021
Shilingi Bilioni 9.3 zimetengwa Mkoani Morogro kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maji 67 ambayo ipo vijijini na itatekelezwa ndani ya mwaka wa fedha 2020/2021.
Hayo yamebainisha Januari 15 mw...
Posted on: January 14th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amewaagiza Maafisa Ugani Mkoani humo kutumia muda wao mwingi kuwafundisha wakulima kwa vitendo namna bora ya kulima zao la mahindi ili kuongeza uzalisha...