Posted on: August 2nd, 2024
Serikali imewataka wananchi kuwa na mpango endelevu wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kushirikiana na wataalam na watafiti wa mazingira ili kuongeza kasi ya uzalishaji wa mazao ya kilimo,...
Posted on: August 2nd, 2024
Dkt. Samia Atoa Wito kutunza miundombinu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro kutunza ...
Posted on: August 1st, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa reli ya kisasa kipande cha Dar es salaam hadi Dodoma utagharimu zaidi ya Tsh. Trilioni 10 hadi kukamilika kwake.
...