• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za maji
      • Miundombinu
      • Huduma za Ugani
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Kilombero
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Uhasibu na Fedha

Majukumu ya kitengo cha Fedha na Uhasibu yamegawanyika kwenye nyanja zifuatazo:

Usimamizi wa Mishahara:

  • Kuandaa na kuidhinisha malipo ya Mishahara
  • kuandaa na kutunza orodha ya watumishi wanaolipwa mishahara
  • Kuwezesha makato mbalimbali kutoka mishahara ya watumishi na kuyawasilishan mamlaka husika

Kuwezesha Malipo:

  • Kuandaa na kuingiza malipo kwenye mtandao wa malipo
  • Kuchukua hundi zamalipo kutoka Hazina ndogo
  • Kupeleka fedha tasilimu na hundi benki
  • Kutayarisha taarifa za mwezi za malipo
  • Kuwalipa watumishi fedha taslimu au hundi na kuwalipa watoa huduma kwa hundi
  • Kutunza daftari la hesabu

Hesabu za Mwisho wa Mwaka:

  • Kutayarisha Makadirio ya bajeti na kudhibiti matumizi
  • Kuandaa taarifa ya matumizi ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali
  • Kujibu hoja zote na maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
  • Kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Ukusanyaji Mapato:

  • Kukusanya Mapato
  • Kusimamia mapato kwa mujibu wa sheria na miongozo

Kazi zilizofanyika Robo ya pili ya mwaka 2018/2019 ni kama i9livyoainishwa hapo chini;

KITENGO CHA FEDHA NA UHASIBU - KIFUNGU 1002 KAZI ZILIZOFANYIKA KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI 2018/2019

  • Kufanya malipo ya Watumishi na Wazabuni ya OC ya Octoba, Novemba na Desemba, 2018 na malipo mengine
  • Kuratibu zoezi la ukaguzi wa mwaka wa fedha 2017/2018 unaofanywa na ofisi ya NAO.
  • Kuratibu zoezi la ukaguzi wa robo ya kwanza  mwaka wa fedha 2018/2019 uliofanywa na Mkaguzi wa Ndani.
  • Kufanya malipo ya madeni ya Watumishi, Wazabuni, na Watoa huduma kwa fedha za madeni zilizopokelewa kutoka Hazina
  •  Kufanya marekebisho ya Taarifa za Hesabu za mwaka 2017/2018 zilizoratibiwa na Wizara ya Fedha na Mipango 
  • Dodoma.Kuandaa taarifa ya fedha kwa ajili ya kikao cha kusimamia na kuratibu mapato na matumizi ya Mkoa kwa robo ya nne 2017/2018 na robo ya kwanza 2018/2019.
  • Kushiriki katika kikao cha kamati ya ukaguzi kilichofanyika tarehe 22.11.2018
  • Kusimamia ulipaji na matumizi sahihi ya fedha za miradi ya maendeleo katika sekta za maji, afya na miundo mbinu.
  • Kuandaa taarifa ya ulipaji wa madeni yaliyoletwa na Hazina ili    kuiwasilisha Wizara ya Fedha na Mipango.
  • Kusimamia makusanyo ma malipo ya Mfuko wa afya ulioboreshwa ngazi ya Mkoa ( iCHF )

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) KIDATO CHA NNE MEI-2019 MOROGORO July 29, 2019
  • Karibu kuwekeza Mkoani Morogoro September 26, 2019
  • Ifahamu Miongozo ya uazishwaji wa minada ya mifugo, uuzaji wa mifugo katika minada, ukusanyaji wa mapato kupitia minada, nyaraka zinazohitajika katika kusafirisha mifugo n.k Bofya hapa.. February 14, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 - MKOA WA MOROGORO December 07, 2019
  • View All

Habari Mpya

  • RC SANARE AAGIZA TAKUKURU KUFANYA UCHUNGUZI WA MIL. 260

    January 24, 2021
  • NIMR YAANZA TAFITI ZA KUTIBU MALARIA.

    January 22, 2021
  • RC Morogoro atoa siku 11.

    January 21, 2021
  • WANACHI KIJIJI CHA WAMI LUHINDO WAHAMASIKA KUJENGA SHULE, WAOMBA SIKU YA HARAMBEE IPANGWE KARIBU.

    January 17, 2021
  • View All

Video

Anayetaka kumuheshimu Rais amuheshimu Mwananchi - RC Sanare
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.