• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Huduma za Afya


SEKTA YA AFYA

  1. UTANGULIZI
  • Mkoa wa Morogoro unakadiriwa kuwa na jumla ya wakazi wapatao milioni 2.5, kaya 522,909 (sensa 2012)  na eneo lenye ukubwa wa  Kilometa za mraba 73,039.   Kiutawala mkoa umegawanyika katika halmashauri 9 ambazo ni Morogoro MC, Morogoro DC, Mvomero, Kilosa, Kilombero, Ulanga, Gairo, Ifakara na Malinyi. Mkoa hutoa huduma za Tiba na Kinga.
  •  
  • 2. HUDUMA ZA TIBA 
  •   Huduma za tiba ziliendelea kutolewa katika hospitali ya rufaa ya mkoa, mashirika ya umma, dini na binafsi na   katika vituo vya afya na zahanati.

2.1 Vituo vya kutolea huduma za afya

  • Mkoa una vituo vya kutolea huduma vinavyofanya kazi vipatavyo 419 kama ifuatavyo;- Zahanati 354  Vituo vya Afya 52  na Hospitali 13                     ( kama inavyooneshwa katika Jedwali Na.1). Huduma  zinazotolewa   katika vituo ni huduma za wagonjwa wa nje , upasuaji, vipimo (x-ray, ultrasound na maabara).
  •  Jedwali namba 1. Idadi ya vituo vya kutolea huduma za tiba kwa umiliki 
  • Aina ya kituo
  • Hali 
  • Idadi ya vituo kwa umiliki
  • Jumla ndogo
  • Serikali 
  • Mashirika ya dini
  • Mashirika ya umma
  • binafsi
  • Hospitali
  • Zinazotoa huduma
  • 5
  • 4
  • 2
  • 2
  • 13
  • Zinazoendelea kujengwa
  • 2
  • 1
  • 0
  • 0
  • 3
  • JUMLA 
  • 7
  • 5
  • 2
  • 2
  • 16
  •  
  • Vituo vya afya
  • Zinazotoa huduma
  • 31
  • 13
  • 5
  • 3
  • 52
  • Zinazoendelea kujengwa
  • 4
  • 1
  • 0
  • 0
  • 5
  • JUMLA 
  • 35
  • 14
  • 5
  • 3
  • 57
  •  
  • Zahanati
  • Zinazotoa huduma
  • 222
  • 56
  • 16
  • 53
  • 347
  • Zinazoendelea kujengwa
  • 18
  • 2
  • 0
  • 2
  • 22
  • JUMLA NDOGO
  • 240
  • 58
  • 16
  • 55
  • 369
  •  
  • JUMLA KUU
  • Zinazotoa huduma
  • 258
  • 73
  • 25
  • 58
  • 414
  •  
  • Zinazoendelea kujengwa
  • 24
  • 4
  • 0
  • 2
  • 30

2.2. Vyumba vya Upasuaji kwenye Vituo vya Afya (Theatre)

Jumla ya Vituo vya Afya 18 (35%) vina vyumba vya upasuaji vilivyoanza kutoa huduma. Vituo 2Mangula na Mngeta  vipo tayari ujenzi umefikia hatua za mwisho, vituo 9 ambavyo ni Mtimbira na Ngoheranga (Malinyi DC), Kibati (Mvomero DC), Mkuyuni na Dutumi (Morogoro DC) Kidodi na Mikumi (Kilosa DC) Gairo (Gairo DC) na Lupiro (Ulanga DC) vimeshapokea fedha TSH 3,2 Bilioni kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za dharuara hususani huduma za uzazi pia vituo hivi vimetengewa TSH 220 milioni kila kimoja kwaajili ya kununulia vifaa tiba kutuk bori kuu ya madawa MSD.

Mara vitakapo kamilika Mkoa utakuwa na vituo vya afya 25 ambayo vitakuwa vinauwezo wa kutoa huduma za dharura hii ikiwa nisawa  sawa na asilimia 48 ya vituo vyote vya afya vya Mkoa. Lengo ni kufikia asilimia 70 ya vituo vyote vya afya vitakavyokuwepo viwe na uwezo wa kutoa huduma za upasuaji ifikapo Decemba mwaka 2018.

Jedwali namba 2 na 3 yanaonesha Idadi  ya Vyumba vya Upasuaji (Theatre)  katika Hospitali na Vituo vya Afya hadi Desemba, 2017

 Jedwali Na.2: Vyumba vya Upasuaji (Theatre) katika Hospitali hadi Desemba, 2017

Na

 
 
HALMASHAURI
Vyumba vya Upasuaji
Vinavyotoa huduma
Vinavyo endelea na ujenzi/ukarabati
Vilivyo kwenye mpango wa ujenzi
Vinavyotarajiwa kukamilika ifikapo Desemba 2018

1

MANISPAA

3

1

0

0

2

GAIRO

1

1

0

0

3

KILOSA

2

3

0

3

4

MVOMERO

2

1

1

1

5

MOROGORO

0

2

1

2

6

KILOMBERO

1

2

0

2

7

IFAKARA MJI

1

1

0

1

8

ULANGA

1

1

0

1

9

MALINYI

1

1

1

0


JUMLA

12

9

3

7

Jedwali Na.3: Vyumba vya Upasuaji (Theatre) katika Vituo vya afya hadi Desemba, 2017

Na

 
 
HALMASHAURI
Vyumba vya Upasuaji
Vinavyotoa huduma
Vilivyo kwenye ujenzi
Vilivyo kwenye mpango wa ujenzi
Vinavyotarajiwa kukamilika ifikapo Desemba 2018

1

MANISPAA

4

2

2

0

2

GAIRO

1

1

0

1

3

KILOSA

2

3

0

3

4

MVOMERO

3

1

0

1

5

MOROGORO

3

2

0

2

6

KILOMBERO

4

3

0

3

7

IFAKARA MJI

1

0

0

0

8

ULANGA

1

1

0

1

9

MALINYI

1

2

0

2


JUMLA
20
15
2
13

2.3. Huduma za afya ya uzazi na mtoto:

  • Mkoa wa Morogoro una jumla ya vituo 336 vinavyotoa huduma za Afya ya mama na mtoto
  • Huduma zitolewazo ni pamoja na:
  • Huduma za kujifungua
  • Uzazi wa Mpango
  • Huduma za  Wajawazito
  • Huduma baada ya Mama kujifungua
  • Huduma kwa watoto chini ya miaka mitano mfano huduma za Chanjo, Kupima uzito na ushauri wa lishe.
  • Uchunguzi wa Saratani ya Mlango wa kizazi
  •  Huduma za Afya ya Uzazi kwa vijana
  • Huduma ya kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
  • Kati ya vituo 336, vituo 290 vinatoa huduma ya kujifungua na vituo 18 vinatoa huduma ya upasuaji. Kama inavyooneshwa katika Jedwali na.2 na 3.
  • Mkoa unaendelea na juhudi kubwa katika kupunguza vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto chini ya miaka mitano. Kwa mwaka 2016 mkoa ulikuwa na vifo 85 hii ikiwa ni sawa na vifo 125 katika vizazi hai 100,000 kiwango hiki ni chini ya wastani wa taifa ambayo ni 432/100,000 (NBS 2012). Kwa mwaka 2017 mkoa ulikuwa na vifo 78 hii sawa na vifo 106.5 katika vizazi hai 100,000.
  • 2.3.1 Majengo ya Kusubiria akinamama Wajawazito kabla ya kujifungua (Martenity Waiting Homes).

Mkakati wa kuwepo vyumba vya kusubiria wajawazito una lengo la kuhakikisha kuwa wajawazito wanafika mapema katika vituo vya tiba wakati wa kujifungua kwa kuwepo na mahali pa kupumzikia wakati wa kusubiri kujifungua. Hivi sasa yapo maeneo 8 ya aina hiyo na mengine 2 yakiwa tayari yamekwishaanza ujenzi ambayo ni maternity home ya Duthumi H/C inayojengwa kwa ufadhili wa LIONS CLUB na  ya Mwaya H/C inafadhiliwa na wafadhili kutoka Uholanzi  kama inavyoneshwa kwenye jedwari namba 4. Lengo ni kuwa na angalau vituo 25 ambavyo ni asilimia 48 yawe na huduma hii.

 

 

 

 

 

 

Jedwali Na. 4: Idadi ya majengo ya Kusubiria kinamama Wajawazito kabla ya kujifungua (Martenity Waiting Homes)

Na

Halmashauri

Idadi ya Majengo

Matarajio ifikapo Desemba 2017

Yanayofanya kazi

Yanayoendelea na ujenzi

Yaliyokatika mpango wa ujenzi

1

Morogoro Manispaa

0

0

0

0

2

Morogoro

0

1 (Duthumi)

 2 (Tawa na Ngerengere)

1

3

Mvomero

1 (Turiani Hosp)

0

3(Mgeta,Melelana Kibati)

0

4

Kilosa

3(Berega, Kilosa, St Kizito)

0

 2(St. Joseph HC na  Kimamba)

0

5

Kilombero

 1(Mlimba HC)

0

 3 (Mngeta, Mbingu Sisters, Msolwa- good summartan)

0

6

Ifakara Mji

1 (ST.Fransis Hosp)

0

0

0

7

Ulanga

1 (Mahenge Hosp)

1 (Mwaya H/C)

0

1

8

Malinyi

1(Lugala hosp)

0

1(Mtimbira) HC

0

9

Gairo

0

0

1(Gairo HC)

0

JUMLA

8

2

13

2

2.4: Vitanda vya wagonjwa

Vituo vya kutolea huduma za afya katika mkoa hadikufikia mwezi Decemba 2017  vilikuwa na jumla ya vitanda 2941 vya kulaza wagonjwa. Kama inavyooneshwakatika  jedwali namba 5.

Jedwali Na. 5  Mchanganuo wa  vitanda vya kulaza wagonjwa katika vituo vya afya na Hospitali  

 

NA.

Halmshauri

Aina ya kituo

Jumla 
Hospitali
Vituo vya afya

1

Morogoro Manispaa

421

175

596

2

Morogoro

0

150

150

3

Mvomero

317

190

507

4

Kilosa

422

221

643

5

Ulanga

76

67

143

6

Malinyi

135

27

162

7

Kilombero

71

161

232

8

Ifakara Mji

371

104

475

9

Gairo

0

33

33

JUMLA

1813

1128

2941

  •  
  • Chanzo:  Taarifa za Afya ya uzazi na mtoto za Halmashauri
  • Maelezo: Idadi ya vitanda katika Mkoa bado haitoshelezi ukilinganisha na mahitaji.  Hii inatokana  na baadhi ya halmshauri kutokuwa na Hospitali

2.5 Magari ya kubeba wagonjwa (Ambulances)

Mkoa una jumla ya magari 35 ya kubeba wagonjwa kati ya 68 yanayohitajika sawa na asilimia 51hivyo kunaupungufu mkubwa katika eneo hili kwa asilimia 49. Jedwari na 6 linaonyesha Mchanganuo kwa halmashauri na umiliki.

Jedwali Na.6: Idadi ya Magari ya Kubeba Wagonjwa (Ambulances) hadi Desemba, 2017

Na

Halmashauri
Idadi  ya zilizopo
Jumla 
Pungufu
 
Serikali
Binafsi

1

Manispaa

2

4

6

7

2

Morogoro

5

0

5

4

3

Mvomero

2

2

4

7

4

Kilosa

2

3

5

8

5

Kilombero

4

3

7

1

6

Ulanga

2

1

3

2

7

Gairo

1

0

1

2

8

Malinyi

1

1

2

1

9

Ifakara Mji

1

1

2

1

JUMLA

20

15

35

33

N:B Wilaya zingine ambazo zina magari ya ambulance mabovu yasiyofanya kazi ni pamoja na Ifakara mji , Malinyi na Ulanga

2.6: Hali ya upatikanaji wa dawa  katika mkoa 

Mkoa umeendelea kusimamia upatikanaji na utumiaji wa dawa hii ni pamoja na uagizaji wa dawa kutoka MSD na nje ya MSD.

Upatikanaji wa dawa katika vituo vya kutolea huduma kwa robo ya kwanza (October  - December  2017) wastani wa upatikanaji wa dawa muhimu katika vituo vya kutolea huduma ulikuwa asilimia 91.

Dawa zenye Jumla ya Tshs 933,532,476/= zilipokelewa katika vituo vya kutolea huduma, ambapo asilimia 63 sawa na Tshs 588,452,793/= zilinunuliwa kutoka MSD na 37 sawa na Tshs 345,079,683/= zilinunuliwa kutoka kwa mzabuni teule.

Usimamizi shirikishi ambao ulilenga eneo la dawa ulifanyika katika halmashauri zote tisa za Mkoa wa Morogoro

Jedwari na 7 linaonesha upatikanaji wa Dawa kwa kila halmashauri.

Jedwali na 7 : Hali ya uwepo wa dawa katika mkoa

 

Na.

 

Halmashauri ya wilaya

% ya dawa ilyopatikana 

Julai - Septemba

1.

Morogoro Manispaa

90

2.

Morogoro

75

3.

Mvomero

84

4.

Gairo

90

5.

Kilosa

51.7

6.

Kilombero

91

7.

Ifakara Mji

93

8.

Ulanga

92

9.

Malinyi

92

Chanzo: DHIS 2

2.7 Uchangiaji huduma  

Mkoa unatekeleza sera ya afya ya mwaka 2007 ya uchangiaji huduma za afya kupitia mfuko wa bima ya afya ya taifa (NHIF), mfuko wa afya ya jamii (CHF) na mifuko mingine ya jamii.

  • Hali ya uchangiaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF)

Katika kipindi cha mwezi Januari mwaka 2016 kaya hai za CHF zilikuwa ni 12,196 sawa na asilimia 2.4 ya kaya 508,201. CHF iliyoboreshwa ilianza kutekelezwa mwezi Februari mwaka 2016 na kuwezesha Jumla ya kaya 107,960 zikiwa na wanufaika/wategemezi 519,220 kuandikishwa katika mpango wa CHF katika kipindi cha mwezi Februari 2016 hadi Juni 2018. Idadi hii ni sawa na asilimia 21.2 ya Kaya 508,201 za Mkoa wa Morogoro.

Hadi kufikia Juni 2018, jumla ya Kaya hai za CHF ni 58,640 zenye wanufaika 263,355 sawa na asilimia 13.2.

Mchanganuo wa Idadi ya Kaya Hai kutoka katika Kila Halmashauri ni huu ufuatao:-

WILAYA

IDADI YA  KAYA

 IDADI YA KAYA HAI 

IDADI YA WANUFAIKA /WATEGEMEZI HAI

ASILIMIA YA KAYA HAI

Gairo DC

37,118

7,156

                     34,236.00

19.3%

Ifakara TC

26,606

2,251

                       9,941.00

8.5%

Kilombero

68,250

6,906

                     32,340.00

10.1%

Kilosa DC

104,327

7,220

                     31,294.00

6.9%

Malinyi

23,708

3,499

                     16,211.00

14.8%

Morogoro DC

68,154

5,198

                     23,078.00

7.6%

Morogoro MC

77,040

8,720

                     38,141.00

11.3%

Mvomero DC

72,583

9,167

                     37,085.00

12.6%

Ulanga

30,415

8,523

                     41,029.00

28.0%

 

508,201

                 58,640 

                  263,355.00 

13.2%

Kuanzia mwezi Agosti 2018, Jumla ya Kaya 277 zimehamasishwa na kuchangia katika CHF iliyoboreshwa ya Kitaifa kwa gharama ya shilingi 30,000. Kampeni maalum imeandaliwa kwa ajili ya kuhamasisha jamii kufahamu

2.8: HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII 

Sheria ya mtoto Na.21 ya mwaka 2009 kifungu cha 94(1) inatamka kwamba serikali ina wajibu wa kulinda na kutunza ustawi wa mtoto ndani ya eneo lake. Na kifungu cha 16 inahimiza mtoto kupata ulinzi na usalama katika eneo lake. Hata hivyo bado kuna ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kutokana na wazazi wao kufariki na kupelekea watoto hao kujilea wenyewe na kukosa huduma za kijamii (Angalia Jedwali Na 8A hapo chini).

 

Jedwali Na.8A .Idadi ya Watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi 2017

HALMASHAURI 

ME 

KE 

JUMLA 

Manispaa

1653

1640

3293

Morogoro

2654

5355

8009

Mvomero

4250

5067

9317

Kilosa

187

156

343

Kilombero

1913

1717

3660

Ulanga

838

663

1501

Gairo

144

163

307

Malinyi

0

0

0

Ifakara Mji

0

0

0

JUMLA 

11639

14761

26400

 

 

Jedwali namba 8B. Idadi ya wazee na huduma walizopata kwa mwaka 2017

HALMASHURI

IDADI NA JINSIA

MISAADA WANAYOPATA

ANAYETOA MISAADA

ME 
KE 
JUMLA 
Manispaa
220
280
500
Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
Morogoro
235
265
500
Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
Mvomero
185
315
500
Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
Kilosa
225
275
500
 Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
Kilombero
194
306
500
Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
Ulanga
232
268
500
 Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
Malinyi
137
363
500
Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
Ifakara Mji
219
281
500
Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
Gairo
153
347
500
Kadi  za CHF kwa ajili ya matibabu
NHIF
MRRH
5110
6735
11845
Msamaha wa matibabu
Hospitali ya Mkoa
JUMLA 
6910
9435
16345
 
 

Mkoa umeendelea kufanya juhudi ya kuwatambua wazee wote waliopo ndani ya Mkoa ambao ni kama inavyoonekana hapo chini Jedwali Na.8C                   Jedwali Na.8C Idadi ya wazee waliotambuliwa kwa mwaka 2017

HALMASHAURI

IDADI

Manispaa

9542

Morogoro

12870

Gairo

5776

Mvomero

20439

Kilosa

15588

Malinyi

0

Ulanga

5378

Ifakara Mji

3415

Kilombero

15648

JUMLA

88656

 

 

2.10. Watu wenye ulemavu

Mkoa unafanya juhudi kubwa katika kutekeleza sheria ya watu wenye ulemavu Na.9 ya mwaka 2010 kwa kupitia maafisa ustawi wa jamii ambapo hutoa ushauri wa kitaalamu kwa vyama vya watu wenye ulemavu (SHIVYAWATA).Mbali na changamoto zilizopo bado ni jukumu  la mkoa kuweka kwenye bajeti shughuli za watu wenye ulemavu kama inavyoelekezwa kwenye sheria ili kuweza kuwatambua na kuhuisha takwimu.Kwahiyo kwa takwimu za mwaka 2016,Mkoa una Jumla ya watu wenye ulemavu wa macho 653,viziwi/bubu 1391,akili 1766,ngozi 964 na ulemavu wa viungo 1496.Bado zoezi la kuwatambua linaendelea kwa kila Halmashauri.























































































































































































Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • Vyama vya Ushirika Vyatakiwa Kutumia TEHAMA

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI SHERIA, KATIBA NA KANUNI YA VYAMA VYENU - MUTUNGI.

    May 14, 2025
  • WANAFUNZI 214 WA KIDATO CHA KWANZA SEKONDARI ZA MONGOLA, MGETA WAPEWA MICHE 2140 YA MIKARAFUU

    May 13, 2025
  • RC MALIMA ATOA WITO KWA WANANCHI KUSHIRIKI MAADHIMISHO MIAKA 80 YA HOSPITALI, AMSHUKURU RAIS SAMIA.

    May 13, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.