Baadhi ya wajumbe wa mafunzo ya uandikishaji wapiga kura wakila kiapo cha uaminifu katika utekelezaji wa zoezi ambalo liko mbele yao. Kushoto ni Hakimu Mkazi Bi. Agnes Ringo.
Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Ndg Eliya Ntandu akiwa ameushika Mwenge wa Uhuru tarehe 22/6/2015 Ruaha Mbuyuni
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Rajabu Rutengwe akimkabidhi cheti cha kukimbiza Mwenge katika Mkoa wa Morogoro ndg Juma Khatibu Chum kiongozi wa Mbio za Mwenge 2015

Mkuu Wa Mkoa

Dr Rajab M. Rutengwe


Mkoa wa Morogoro

Mkoa wa Morogoro ni Mkoa wa pili kwa ukubwa nchini ukitanguliwa na Mkoa wa Tabora. Mkoa una eneo la kilometa za mraba 73,039. Eneo hili ni sawa na asilimia 7.7 ya eneo lote la Tanzania Bara, kati ya eneo hili Km2 2,240 ni eneo la maji. Mkoa umepakana na Mikoa ya Pwani na Lindi kwa upande wa Mashariki, Manyara na Tanga upande wa Kaskazini na kwa upande wa Magharibi umepakana na Mikoa ya Dodoma na Iringa. Upande wa Kusini unapakana na Mkoa wa Ruvuma. 

Hali ya Hewa

Mkoa hupata mvua mara mbili kwa mwaka. Mvua z...

Soma Zaidi

Habari & Matangazo

22/ 05/ 2015

Mkutano kuhusu Mikopo

Picha ya pamoja ya baadhi ya wadau wa mafunzo ya kujengewa ufaham...

18/ 02/ 2015

Ras

Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Mr Eliya Ntandu akimkaribisha Mkuu...

05/ 12/ 2014

Pwamo

Baadhi ya wajumbe wa Kongamano la Uwekezaji kati ya Mkoa wa Pwani...

Takwimu

  • Eneo la Mkoa = 73,039 (Km2)
  • Idadi ya Watu = 2,218,492
  • Wilaya = 6
  • Mitaa = 295
  • Vijiji = 673