Mkoa wa Morogoro una eneo la hekta 2,226,396 linalofaa kwa Kilimo na kati ya hilo wastani wa hekta 763,352.28 sawa na asilimia 34.3 ndizo zinazolimwa. Eneo linalofaa kwa Kilimo cha Umwagiliaji ni hekta 1,510,339.51 na eneo linalomwagiliwa kwa sasa ni hekta 40,558 sawa na asilimia tatu. Wananchi wa Mkoa wa Morogoro (75%) wanategemea zaidi kilimo kwa ajili ya ajira, kipato na chakula. Mazao ya chakula yanayolimwa kwa wingi ni Mahindi, Mpunga, Mtama, Maharage, Mihogo, Viazi vitamu na Ndizi, na Mazao ya biashara ni Miwa, Pamba, Korosho, Alizeti na Ufuta.
MAZAO YA CHAKULA
|
Eneo lililo limwa (He)
|
Uzalishaji (Tani) |
Mahitaji ya chakula (Tani)
|
Ziada (Tani) |
2011/2012
|
560,955.00
|
1,369,069.00
|
516,713.80
|
852,355.20
|
2012/2013
|
594,723.00
|
1,669,638.00
|
527,779.20
|
1,141,858.80
|
2013/2014
|
659,660.00
|
2,210,988.00
|
538,844.70
|
1,672,143.30
|
2014/2015
|
Mwaka
|
1, 877,942.1
|
549910.20
|
1,328,031.9
|
2015/2016
|
563,826.18
|
1,597,895.65
|
576,622.49
|
1,021,273.16
|
2016/2017
|
Mkoa umelenga kulima Hekta 736,723.59 ili kuvuna tani, 2,895,823.19 za mazao ya chakula.
|
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.