Kwa anayetoka Mkoani baada ya kituo cha mabasi cha Msamvu, panda mabasi madogo maarufu kama "daladala" ya kwenda mjini. Ukifika kituo cha mabasi cha mjini ulizia barabara ya Boma( Boma road) fuata barabara hiyo hadi mwisho utakuta Ofisi yetu ya Mkuu wa Mkoa. Kwa ambaye huna usafiri binafsi, ukifika mjini chukua taksi au pikipiki mwambie dereva akupeleke Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro watakuleta hadi ofisini.
KARIBU SANA
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.