Maofisa kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wakitoa Elimu kwa watoa huduma ndogo za fedha na wazalishaji wa bidhaa Mkoani Morogoro tarehe 23/11/23.