Habari katika picha
Ni kikao cha kuandaa rasimu ya maendeleo ya Sekta ya kilimo, l,/Mifugo na Uvuvi kwa Kongani ya Kilombero kilichofanyika katika Hoteli ya Morena iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Martine Shigela
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Mariam Mtunguja
Kikao hicho kimeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Wenyeviti wa Halmashauri, wataalamu wa kilimo, Mifugo na Uvuvi pamoja na wadau kutoka mashiri ka yasiyo ya kiserikali na wadau wengine
Aidha kikao hicho kimeongozwa na Mkuu wa MKoa wa Morogoro Mhe. Martine Shigela na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mariam Mtunguja na Wajumbe wa Menejimenti ya Sekretarieti ya Mkoa nao wameshiriki.
Kikao hiki ni cha siku mbili kuanzia tarehe 14 - 15 Machi, 2022
Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha kuandaa rasimu ya Maendeleo ya sekta ya kilimo Kongani ya Kilombero
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.