• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

JITIHADA ZA RC MOROGORO KUPANDA MITI ZAJIDHIHIRISHA KUPATA TUZO

Posted on: July 31st, 2022

Mkoa wa Morogoro umejipanga upya kuhakikisha unarejesha Uoto wa asili kupitia Mkakati wa kupanda miti kama sehemu ya kuhifadhi, kutunza na kulinda mazingira ya Misitu ndani ya Mkoa huo.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mazingira lililofanyika ukumbi wa Magadu Mess Manispaa ya Morogoro, tukio hilo liliambatana na shughuli ya upandaji wa Miti katika Shule ya msingi ya Magadu kama sehemu ya kutekeleza mkakati huo.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akimkabidhi Tuzo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela (kushoto) kama alama ya kutambua mchango wa Mkoa huo kushiriki kwenye kampeni za upandaji miti. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jaffo. TUZO hiyo imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais leo Juni 5 2022

Mikakati iliyopangwa na Mkuu wa Mkoa huo akishirikiana na Viongozi wa chini yake wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri, viongozi wengine wa chama  na Serikali, ni kuhakikisha taasisi za Serikali zikiwemo shule za Msingi na Sekondari pamoja na wadau wengine kuwa wanapewa miche ya miti kwa ajili ya kupanda na kurejesha uoto wa asili ndani ya Mkoa huo.

Mikakati hiyo ambayo imekuwepo tangu mwaka mmoja uliopita ndio haswa umeaanza kuonesha matokea chanya ya uoto wa asili kuanza kurejea taratibu katika baadhi ya maeneo lakini pia na Serikali  kuanza kutambua mchango wake katika kampeni ya Upandaji miti na kutoa TUZO kwa MKoa huo.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Shigela akipanda mti 


Hapa Mhe. RC anaongea na wadau mbalimbali wa Mazingira (hawapo pichani). kushoto ni Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Mhe. Pascal Kihanga


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Martine Shigela (wa pili kushoto) akiwa katika Maandamano na wadau wengine wa mazingira wakielekea eneo la kupanda miti siku ya Kongamano la wadau wa Mazingira lililofanyika mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu


MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.