• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

KATIBU TAWALA AENDELEA KUGAWA MICHE YA KARAFUU KWA WANAFUNZI

Posted on: March 6th, 2025



Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Mussa Ali Mussa ameendelea kutekeleza kwa vitendo kampeni ya JISOMESHE NA MKARAFUU kwa kuendelea na zoezi la kugawa miche ya karafuu kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi hao kuweza kutumia mikarafuu kujiendeleza kimasomo.

Katibu Tawala huyo amegawa miche hiyo leo Machi 5, 2025 katika shule za Sekondari za  Halmashauri ya manispaa ya Morogoro  Mkoani humo akitekeleza kampeni iliyozinduliwa hivi karibuni katika Wilaya ya Morogoro.

Dkt. Mussa amesema zoezi hilo la ugawaji wa miche ni endelevu na linalenga kuwawezesha wanafunzi wa kidato cha kwanza  kujisomesha wenyewe kwa kuweza kupata fedha zitakazo wasaidia kununua mahitaji mbalimbali hususan mahitaji ya shule kupitia zao la karafuu baada ya miaka minne ijayo.

".tunachokifanya kama Mkoa kwa sasa hivi ni kuwawezesha nyie wanafunzi kwa manufaa yenu" amesisitiza Dkt. Mussa Ali Mussa.

Aidha, Katibu Tawala huyo amewataka wazazi, Wàlezi na Wanafunzi kupanda miche hiyo maeneo ya nyumba zao na kuisimamia ili iweze kukua na kuweza kuwasaidi wanafunzi katika masomo yao.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Bw. Emmanuel Mkongo amesema Halmashauri hiyo imegawa miche 4540 kwa wanafunzi 454 wa Sekondari hususqn wa kidato cha kwanza wa shule 6 za halmashauri hizo.


Naye Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kingalu Bi. Eliza Hamisi kwa niaba ya wanafunzi wenzake ameishukuru Serikali ya Mkoa wa Morogoro kwa kuwapatia miche hiyo huku akiahidi kuitunza ili iweze kumasaidia kumwingizia kipato yeye na wazazi wake na vizazi vijavyo.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.