Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewataka wananchi wa Mkoa huo kuwa na utamaduni wa kupeane taarifa mara mara inapotokea eneo moja au mmoja anapoona kuna maji yanayotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini ili kuepusha maafa zaidi ndani ya Mkoa huo.
Mhe. Adama Malima amesema hayo Januari, 25, 2024 wakati akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mvua kubwa iliyonyesha jana katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na kusababisha maafa ya binadamu, upotevu wa mali na uharibifu wa miundombinu.
“lazima sisi katika Mkoa wetu wa Morogoro hasa maeneo ambayo mara nyingi yanashambuliwa na maji, lazima tutengeneze utaratibu wa kunapeana tahadhari….Adam Malima.
MWISHO
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.