• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

MAFUNZO YA AMIS NA TAUSI YATOLEWA MKOANI MOROGORO.

Posted on: May 21st, 2025

Maafisa Biashara na Utamaduni ngazi ya Mkoa na Halmashauri Mkoani Morogoro  wamepatiwa Mafunzo ya namna ya kuunganisha Mfumo wa AMIS NA TAUSI (PPT) unaolenga kukusanya taarifa za wasanii pia kuimarisha  makusanyo ya mapato ya shughuli za Biashara, Sanaa na Utamaduni katika Halmashauri zao.

Hayo yamebainishwa leo Mei 21, 2025 na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Muziki Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) Bw. Kelvin Stanslaus wakati wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichofanyika Chuo Kikuu cha Cha Sokoine (SUA) ambapo zaidi ya wataalamu 25 wamehudhuria kikao hicho.


".. leo tunafanya mafunzo ya mfumo wa AMIS NA TAUSI ambapo lengo lake ni kukusanya taarifa za wasanii na kukusanya mapato.." amesema Bw. Kelvin Stanslaus


Kiongozi huyo amesema mfumo wa AMIS NA TAUSI ni mfumo wa wadau wa sanaa unaotumiwa na (BASATA) Kwa ajili ya usajili na kutoa vibali vya wasanii na wadau hao wa sanaa pia kusaidia katika kukusanya mapato katika shughuli za kisanaa kama vile kumbi za starehe, wasanii wadodogo na wafanyabiashara wanaomiliki kazi za sanaa.


Kwa upande wake Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi kutokea Baraza la Sanaa Tanzania ( BASATA) Dkt. Gervas Kasiga amesema kuunganishwa kwa Mfumo wa AMIS NA TAUSI na mifumo mingine utaenda kuleta mapinduzi makubwa katika ukusanyaji wa mapato ya sekta ya sanaa ambapo awali sekta hiyo ilikuwa ilikuwa haina mchango wowote hivyo kutokana na mfumo huo Serikali itaenda kupata mapato kwa ngazi zote hivyo BASATA kujiendesha kutokana na mapato yatokanayo na kazi za kisanaa.


Naye Afisa Utamaduni  Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Bi. Paula Patriki ameishukuru Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia BASATA kwa kuwaletea mafunzo hayo ambayo yatawajengea uwezo katika utendaji kazi wao pia kusimamia  wasanii na mapato yatokanayo na shughuli za Kisanaa ngazi za halmashauri, Mkoa na Taifa.

Naye Kaimu Afisa Utamaduni Mkoa wa Morogoro Bi. Grace Njau amesema Mfumo huo utaenda kuwasaidia maafisa hao katika kukusanya mapato kwa urahisi kupitia tasinia hiyo ya sanaa hivyo kuondokana na Rushwa ambapo kwa sasa shughuli zote za kifedha zikiwemo usajili  zitafanyika kupitia mfumo wa kieletroniki.


NWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • RAIS MSTAAFU WA AFRIKA KUSINI AWATAKA WAAFRIKA KUENZI MASHUJAA WAO.

    May 23, 2025
  • MAFUNZO YA AMIS NA TAUSI YATOLEWA MKOANI MOROGORO.

    May 21, 2025
  • MAFUNZO YA AMIS NA TAUSI YATOLEWA MKOANI MOROGORO.

    May 21, 2025
  • Zaidi ya Mil. 125 zachangwa kupitia chakula cha hisani kukarabati Hospitali ya Rufaa Morogoro.

    May 18, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.