• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

MKUU WA MKOA WA MOROGORO AWATAKA VIONGOZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA SEKRETARIETI YA MKOA HUO KUWASHIRIKISHA WAFANYAKAZI KATIKA IDARA, VITENGO NA TAASISI ZAO.

Posted on: April 22nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela amewataka viongozi wa Baraza la wafanyakazi la sekretarieti ya Mkoa wa Morogoro kuwashirikisha wafanyakazi katika Idara, vitengo na Taasisi zao ili kuwasaidia kufanya tathimni na kutanua wigo katika kufanya maamuzi.



Shigela ameyasema hayo April 21 mwaka huu katika kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwaa jili ya kuunda baraza jipya la wafanya kazi baada ya baraza lililokuwepo awali kumaliza muda wake.



Mkuu huyo wa Mkoa ameeleza kuwa kuna mambo ya msingi ambayo viongozi hao wanatakiwa kujipanga vizuri kuyatekeleza kwa wakati ili yaweze kuleta tija katika maendeleo ya wananchi.

“Yako mambo ya msingi yanayohitaji mabadiliko ya maendeleo kwa  wananchi wa Mkoa wa Morogoro kwa hiyo ni lazima kama wafanyakazi tukajiangalia nafasi yetu hiyo sio nafasi ya kutoka nyumbani kuja Ofisini, nachangia nini katika transformation ya Mkoa wa Morogoro katika maendeleo” Martine Shigela amesema.  

Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa amewataka wajumbe wa Baraza hilo kutumia fursa ya nafasi zao hizo kutathmini ni upi mchango wao katika kuhakikisha wanaboresha maendeleo ya wananchi wa Morogoro na watanzania kwa jumla na badala ya kuangalia wananufaikaje wao binafsi.



Mwenyekiti Mpya wa Baraza hilo Erick Olomi ambaye ni Mchumi kutoka Idara ya Mipango na Uratibu Ofisi ya Mkuu wa Mkoa amesema Baraza hilo limenzishwa kwa lengo la kuwaunganisha na kuwashirikisha wafanyakazi kutoa maamuzi katika Idara zao huku akiahidi kuboresha maeneo muhimu ikiwemo kipengele cha kusimamia sheria mbalimbali na miiko ya kazi.





Kwa upande wake Oltelmas Tarimo ambaye ni Katibu wa chama cha wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) Mkoa wa Morogoro amebainisha kuwa pamoja na mambo mengine Baraza hilo linawajibu wa kupitia bajeti za taasisi ili wafanyakazi waweze kujua maslahi yao na haki wanazotakiwa kuzipata.





“Wanawajibu wa kujua ni nini ambacho kimetengwa kwenye bajeti kwa hiyo tunapokuwa na baraza la wafanyakazi linawasaidia kwanza wafanyakazi kujua ni nini ambacho kimepangwa kwenye bajeti kwa maana ya kwamba mishahara, miradi ya maendeleo, na mipango kazi ambayo ipo na kimsingi wanakuwa wanajua maslahi yao ambayo yamekuwa yameandaliwa kwa mwaka husika” Ameeleza Tarimo.

Miongoni mwa Wajumbe wa Baraza hilo Yohana Kasetila ambaye ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilosa ameeleza umuhim wa mabaraza hayo kuwa yamekuwa msaada mkubwa katika kutatua migogoro mahala pa kazi kutokana na uwazi na ushirikishwaji wa Wafanyakazi wa ngazi ya chini.



 

MWISHO.

 

































Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.