• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Morogoro yapokea washiriki wa mafunzo chuo cha NDC, RC Malima abariki ujuo wao.

Posted on: January 7th, 2025



Mkoa wa Morogoro umepokea washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi cha NDC  huku Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Adam Kighoma Malima akibariki ujio wao na kukishukuru chuo hicho kwa kuleta washiriki hao wanaotoka ndani na nje ya nchi na kuwahakikishia kuwa watajifunza mambo mengi ya mfano.

Washiriki hao wamewasili Mkoani humo Januari 6, 2025 wakiambatana na Wakufunzi wao na wasaidizi wengine huku Mkuu waMkoa huo Adam Malima akibainisha kuwa ziara hiyo ni mahususi kwa ajili ya mafunzo ya kiusalama katika masuala ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na viwanda.

Amesema, katika mafunzo hayo somo kubwa ni litakuwa ni kukumbushana kuwa uongozi wa kijeshi unalenga pia masuala ya kiuchumi, kijamii na kisiasa mbapo somo hilo linasaidia kuandaa viongozi wa kijeshi watakaokuja kutumika katika mazingira nje ya jeshi kwa manufaa ya jeshi lenyewe na Taifa kwa jumla.

"..niwashukuru uongozi wa Chuo cha Ulinzi kwa kuamua kuwaleta wanafunzi wa nje na ndani ya nchi na ni matarajio yangu wataondoka Morogoro wamejifunza mambo mengi sana ya Mfano.." amesema Mhe. Adam Malima.

Kwa upande wake Mkufunzi elekezi mwanadamizi Jeshi la nchi kavu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi Brigedia Jenerali  Charles James Ndiege amesema lengo la ziara katika Mkoa wa Morogoro ni kujifunza masuala ya kiusalama katika nyanja za kiuchumi, Kijamii, kisiasa na viwanda ambavyo huathiri usalama wa nchi.

Aidha amebainisha sababu kuchagua Mkoa wa Morogoro kufanyia mafunzo hayo kwa vitendo kuwa ni kwa sababu ni Mkoa unaochangia kwa asilimia kubwa upatikanaji wa chakula hapa  nchini na kuangalia mchango wa masuala ya kijamii, kiuchumi (viwanda na kilimo) katika kukuza maendeleo ya Mkoa wa Morogoro na Taifa.

Naye Mshiriki wa mafunzo hayo Bw. Said Rajabu Mndeme amesema katika ziara hiyo ya mafunzo kwa vitendo wataangazia hasa sehemu mbili ambazo ni uzalishaji katika Sekta ya kilimo na viwanda ambapo itawasaidia kujifunza mambo mbalimbali ya uzalishaji.

MWISHO.




Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.