• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

MWENGE WA UHURU 2025 UMEWATAKA WANANCHI WA MOROGORO KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Posted on: April 12th, 2025


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Bw. Ismail Ali Ussi  ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Morogoro kushiriki uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 2025 mwaka huu ili kupata viongozi bora watakaowaletea maendeleo.


Ussi ametoa wito huo wakati akitoa ujumbe wa mwenge wa Uhuru kuhusu mapambano dhidi ya malaria katika Soko kuu la Chifu Kingalu lililopo  halmashauri ya manispaa ya Morogoro ambapo pia amegusia suala la uchaguzi wa mwaka huu na kuwataka wananchi hao kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuwachagua viongozi watakaowaletea maendeleo


"Niwaombe na kuwasihi wananchi wa mkoa huu wa Morogoro mjitokeze katika kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu ili muweze kutimiza haki zenu kikatiba na kuwachagua viongozi watakaowaletea maendeleo" amesema Ussi.


Aidha, akiwa katika soko hilo la Chifu Kingalu amewataka wananchi hao kutunza miundombinu ya soko akisema serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha nyingi katika kuboresha mazingira rafiki ya  miundombinu  ya soko lao kwa sababu hiyo amewataka wafanyabiashara wa soko hilo kutunza na kutumia vyema soko hilo ili liweze kutumika kwa muda mrefu.


Naye mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro Mhe. Pascal Kihanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Manispaa ya Morogoro, huku akimuomba Rais  akipendezwa aipandishe hadhi Manispaa hiyo kuwa jiji.


MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.