MWENGE WA UHURU WAENDELEA NA MBIO ZAKE WILAYANI MVOMERO
Ikiwa ni siku ya tatu tangu Mwenge wa Uhuru kuingia na kukimbizwa Mkoani Morogoro, leo Agosti 26 Mwenge wa Uhuru umekimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero na kupitia miradi ya maendeleo sita yenye thamani ya shilingi za Kitanzania 2.2Bil. huku miradi hiyo kufanikiwa kukubaliwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2022 ndugu Sahili Geraruma kwa kutoa maelekezo kadha wa kadha ya kukamilisha ili miradi kuwa katika ubora unaotakiwa.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Sahili Geraruma akizindua moja ya miradi ya maendeleo wakati mwenge huo ukikimbizwa Wilayani humo
jiwe la Msingi limewekwa hapa katika ujenzi wa kituo cha afya
jiwe la Msingi limewekwa hapa katika ujenzi wa kituo cha afya Dakawa
jiwe la Msingi limewekwa hapa katika ujenzi wa kituo cha afya Dakawa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.