• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Mwenge wa Uhuru wasisitiza kuchangamkia mikopo ya 10%.

Posted on: May 14th, 2023

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2023 Ndg. Abdallah Shaib Kaim amewataka vijana kujitokeza kuchukua mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri zote Hapa nchini kwa lengo la kuwainua vijana kiuchumi.

Ndg. Abdallah Shaib ametoa kauli hiyo Mei 13 mwaka huu alipotembelea kikundi cha Okoa vijana kilichopo kata ya Tungi katika Halmashauri hiyo kujionea shughuli zinazofanywa na vijana hao.

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa amesema Serikali inatoa fedhan yingi kupitia Halmashauri zake ili kuinua makundi maalum wakiwemo vijana, hivyo vijana wanatakiwa kujiunga kwenye vikundi ili waweze kupatiwa mikopo hiyo na kiuchumi.

Aidha, ndg. Abdallah Shaib amebainisha kuwa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na serikali ni asilimia 4 kwa vijana, asilimia 4 wanawake na asilimia 2 kwa watu wenye ulemavu.

Katika hatua nyingine, kiongozi huyo ameipongeza Bodi ya maji Bonde la Wami Ruvu Mkoa Wa Morogoro kwa kutii agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango lililoelekeza Bodi za maji kupanda miti zaidi ya milioni 2 katika maeneo yao, ambapo leo Mei 13 wamepanda miti 2000 katika eneo la bwawa la Mindu Mkoani Morogoro.

Akitoa shukrani kwa Serikali awamu ya sita katibu wa kikundi cha Okoa Vijana Bw. Hallington Godbless amesema kikundi hicho kimepata mkopo wa Tsh. Milion 23,000,000 ambazo zimetumika kuongeza mtaji wa kuzalisha chaki, hivyo wanaishukuru serikali  na kuwahamasisha vijana wengine kujiunga kwenye vikundi vingine ili wapatiwe mkopo.


MWISHO







Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.