• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RAIS SAMIA ATAJA MISINGI MITATU YA UONGOZI WAKE.

Posted on: November 24th, 2024



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amebainisha misingi mikuu mitatu inayomwongoza katika kuliongoza Taifa kuwa ni pamoja na kuwashirikisha wadau katika maamuzi, uamuzi unaozingatia ushaidi na tafiti pamoja na kutanguliza mbele maslahi mapana ya Taifa lenyewe.

Dkt. Samia Suluhu Hassan amebainisha hayo wakati  akitunukiwa Shahada ya Udakatari wa heshima katika Uongozi na Chuo Kikuu cha Mzumbe kwenye Sherehe za mahafali ya 23 ya chuo hicho kilichopo Mkoani Morogoro.

Amesema, uongozi wake unatekeleza majukumu kwa kuzingatia taratibu na misingi ambayo huwezesha Serikali kufanya maamuzi sahihi na kuweza kutatua changamoto zinazowakabili Watanzania misingi hiyo ni ushirikishwaji wa wadau katika kufanya maamuzi, kufanya maamuzi kwa kutumia ushahidi na tafiti pamoja na kutekeleza kazi zote kwa kuzingatia malsahi ya Watanzania.

"..Mtindo wangu wa uongozi umejengeka juu ya misingi mikuu 3 ambayo ni ushirikishwaji, kutumia ushahidi katika maamuzi na kutanguliza maslahi ya Taifa.." Amesisitiza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Aidha, Mhe. Rais ametoa wito kwa vingozi wa Serikali wa ngazi zote kutekeleza majukumu na wajibu wao  ili kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi na  kuwaletea maendeleo yao na kuwatumikia Watanzania kwa moyo mmoja.

Sambamba na hayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na kuupongeza uongozi wa chuo Kikuu cha Mzumbe kwa kutumia fedha za ndani kwa kutekeleza miradi ya maendeleo ndani ya chuo hicho na kutatua changamoto nyingi zinazowakabili wanafunzi wa chuo hicho kwa kutumia fedha hizo za ndani.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA AMIS NA TAUSI YATOLEWA MKOANI MOROGORO.

    May 21, 2025
  • MAFUNZO YA AMIS NA TAUSI YATOLEWA MKOANI MOROGORO.

    May 21, 2025
  • Zaidi ya Mil. 125 zachangwa kupitia chakula cha hisani kukarabati Hospitali ya Rufaa Morogoro.

    May 18, 2025
  • RC MALIMA ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI, ASEMA HOSPITALI YA RUFAA INAHIMILI WAGONJWA.

    May 17, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.