wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwasa aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili rasmi leo Agosti 3,2022 ofisini kwake tayari kuanza majukumu yake mapya ya kiofisi na kuwahudumia wananchi wa Mkoa huo. Kila la kheri Kiongozi wetu.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Mussa Ali Mussa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwassa mara alipowasili katika Ofisi za Mkoa huo
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Albert Msando akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwassa
RC Fatma Mwassa akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Fotunatus Musilimu
Aliyekuwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Mhandisi Ezron Kilamhama akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Fatma Mwaasa
KARIBUNI SANA VIONGOZI WETU
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.