• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC Malima aridhishwa na utendaji wa Air Tanzania.

Posted on: April 19th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa shirika la usafiri wa anga la Tanzania (Air Tanzania) kasi iliyo na bunifu katika kuwahudumia wateja wake hasa Watanzania ambao ndio wateja wanaokusudiwa.

Mhe. Malima amesema hayo aprili 20, Mwaka huu wakati akifunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa shirika la usafiri wa anga hapa nchini(Air Tanzania) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kings way hotel uliopo Halmashauri ya manispaa ya Morogoro Mkoani Morogoro.

"...tangu serikali ilipowekeza kuongeza vifaa na ndege mpya mwaka 2016 mpaka sasa ni miaka 8 Air Tanzania imebadilika sana na inafanya vizuri sana hongereni Air Tanzania... " amesema Mhe. Adam Malima

Pia, Mhe. Adam amesema Mkoa huo unavivutio  vingi vya utalii vikiwemo milima ya uduzungwa, mbuga ya wanyama ya mikumi na Bonde la Akiba la kilombero, hivyo kipaumbele kitakuwa Air Tanzania katika kusafirisha watalii  kutokana na huduma zao bora na kuvutia watalii wengi zaidi Mkoani humo.

Sambamba na hilo, Mhe. Malima amewataka Wafanyakazi wa shirika hilo kuwa wawajibikaji, wenye nidhamu na bora zaidi ya sasa kwa manufaa ya Taifa.


Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi  Ladislaus Matindi amesema kupitia usafiri wa ndege unasaidia fursa mbalimbali zikiwemo za utalii ambazo  zinapatikana na kufikika kwa urahisi ndani na nje ya nchi kwa maslahi mapana ya nchi.

Nae, Msimamizi wa kituo cha Air Tanzania nchini Kenya amesema Baraza hilo limejadili mwenendo, malengo sambamba na mipango mikakati waliojiwekea mwaka wa 2023/2024 ili 2024/2025 kuweza kufanya vizuri zaidi.

MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.