Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela ametoa agizo kwa Taasisi za Kiserikali Mkoani humo kuhudhuria na kujifunza mambo mbalimbali ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika maonesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi yanayoendelea Mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa huyo ametoa agizo hilo kwa Kaimu RAS wa Mkoa huo Dkt Rozalia Rwegasira Mei 9 Mwaka huu wakati akifungua Maonesho hayo yanayofanyika katika viwanja vya Jamhuri Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.