Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela amewaahidi Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro kuwapa ushirikiano wa kutosha katika kutekeleza mipango waliyojiwekea ili kuwaletea wananchi maendeleo wa Halmashauri hiyo.
Shigela amebainisha hayo Juni 10 mwaka huu wakati wa kikao cha baraza maalum la madiwani ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya mkaguzi na mthibiti wa hesabu za Serikali –CAG, kupitia hoja zote na kuzitafutia majibu.
\
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.