Vikao vya uhakiki na kupitia bajeti za Halmashauri za Mkoa wa Morogoro kwa mwaka wa fedha 2024/2025 vinaendelea katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Januari 30, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima ameongoza vikao vya bajeti kwa Halmashauri za Kilosa na Malinyi, mambo muhimu yaliosisitizwa katika vikao hivyo ni pamoja na utoaji wa lishe bora kwa watoto, ukusanyaji wa mapato, matumizi sahihi ya fedha za asilimia 10 na asilimia 30, ushirikiano katika kuratibu masuala ya maendeleo pamoja na kufanya kazi kwa pamoja
MWISHO.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.