VIKAO VYA KUPITIA NA KUHAKIKI BAJETI ZA HALMASHAURI ZA MKOA WA MOROGORO VINAENDELEA KWA UONGOZI WA MWENYEKITI WAKE MKUU WA MKOA HUO MHE. ADAM KIGHOMA ALI MALIMA. BAJETI ZILIZOPITIWA NI ZA HALMASHAURI YA ULANGA NA MOROGORO DC.
LEO JANUARI 31, 2024 MHE. ADAM MALIMA AMEZITAKA HALMASHAURI ZILIZOKAA VIKAO LEO HUSUSAN HALMASHAURI YA MOROGORO DC KUTAFUTA VYANZO VINGINE VYA MAPATO YA HALMASHAURI HIYO BADALA YA KUTEGEMEA SANA FEDHA ZINAZOTOKANA NA USHURU WA HUDUMA - SERVICE LEVY.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.