Akina mama kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro wakiwa kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika wilayani Gairo.
wakiwa wanamsikiliza mgeni rasmi kwa umakini
Kauli hiyo imetolewa na Bi. Foida Kikoti Kwa niaba ya akina mama hao ambao ni watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakati akihojiwa na mwandishi wa habari hizi, akina mama hao wameahidi kwenda kuiishi kwa vitendo kauli mbiu ya maadhimisho hayo ya mwaka huu 2023.
Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia; chachu katika kuleta usawa wa kijinsia.
Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.