• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

ZIARA YA KIKAZI YA WAZIRI WA UJENZI MKOANI MOROGORO

Posted on: February 21st, 2024

ZIARA YAKIKAZI YA WAZIRI WA UJENZI MOROGORO

Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashugwa amewasili Mkoani Morogoro leo Februari 21, 2024 kwa ziara ya kikazi ya siku nne kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo ya Mkoani humo miradi ya Sekta ya miundombinu hususan barabara.


Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo

Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Ali Malima akiwa na mgeni wake Waziri wa Ujenzi

Akiwa Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa huo kusaini kitabu cha wageni, ameongea mbele ya waandishi wa Habari kuwa ziara hiyo ni utekelezaji wa moja ya maagizo ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kuwataka viongozi wa serikali kufika maeneo yasiyo fikika ili kutatua changamoto za miundombinu ya barabara.

Aidha amesema Mkoa wa Morogoro, una mchango mkubwa kwa uzalishaji wa chakula hapa nchini, na amesema kwa vile Mkoa wa Morogoro ni Mkoa wa Kimkakati kwenye kilimo  maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuboresha miundombionu ya Barabara na kuunganisha na mikoa au maeneo mengine. 

kulia kabisa ni Meneja wa Wakala ya Barabara (TANROAD) Mkoa wa Morogoro Mhandisi Alinanuswe Kyamba akipokea maelekezo kutoka kwa viongozi wake

kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amesema pamoja  na ziara ya Mhe. Waziri wa Ujenzi kuwa na ziara ya maeneo mbalimbali ya Mkoa huo kukagua miundombinu ya barabara, Mhe. Malima amewasilisha ombi maalum kwa Waziri huyo, ya kupeleka Box Calvati kwa ajili ya kuboresha barabara ya Ifakara - Mlimba ambayo inayokabiliwa na madaraja mengi kutokana na kuwa na mito midogomidogo mingi na kusababisha changamoto kubwa ya barabara hiyo kutopitika hususan wakati wa masika.

Mhe. Waziri Bashungwa anatarajia kuanza rasmi ziara yake hapo kesho Februari 22, 2024 na kutembelea Halmashauri za Kilosa, Gairo, Ifakara, Mlimba na Morogoro DC. Kwa lengo la kukagua miundombinu  ya Barabara.

MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.