Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipewa maelezo na mshauri wa wawekezaji Bw. Daniel Mrutu

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipewa maelezo na mshauri wa wawekezaji Bw. Daniel Mrutu kuhusu kuendeleza eneo maalum la uchumi (Special Economic Zone) lililoko eneo la Nanenane katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.