Posted on: November 23rd, 2023
Maofisa kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wakitoa Elimu kwa watoa huduma ndogo za fedha na wazalishaji wa bidhaa Mkoani Morogoro tarehe 23/11/23.
...
Posted on: November 21st, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amemtaka msimamizi wa ujenzi wa Ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kuongeza kasi ya ujenzi huo ambao hadi sasa umefikia asilimia 50.
Mhe. M...
Posted on: November 21st, 2023
Mkurugenzi wa fedha na utawala CPA Prisilla Mushi amewasisitiza watendaji wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kuwa wabunifu katika kazi zao kwani amesema kumekuwa na mashirika mengi ya u...