Posted on: November 17th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa amewataka Viongozi wa dini katika Mkoa huo kuwa mabalozi wa amani kwa kuwa wao wanaushawishi na nguvu kubwa katika kuwabadilisha waumini wao kitabia kupitia ...
Posted on: November 16th, 2022
Watu wawili wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa Mkoani Morogoro kutokana na vurugu zilizozuka baina ya jamii ya wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Lubasazi, Kata ya Kolero, Wilayani Moro...
Posted on: November 14th, 2022
Mufti wa Tanzania Shekhe Abubakar Zubeir amewataka watanzania kuyalinda mazingira kwa kuwa mazingira ndio uhai wa mwanandamu kwani mazingira ndio chanzo kikubwa cha mvua hapa duniani.
Shekhe Abubak...