Posted on: March 6th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Mussa Ali Mussa amewataka wadau wanaotekeleza miradi ya kuwainua Vijana kiuchumi Mkoani humo wajikite katika utunzaji wa mazingira ili kurudisha uoto wa asili.
...
Posted on: March 6th, 2024
Programu za Mradi wa Jifunze Uelewe unaotekelezwa na Shirika la USAID – Jifunze Uelewe Mkoani Morogoro umetajwa kuwa ni chachh ya ongezeko la ufaulu kwa wanafunzi wa shule za Msingi Mkoani humo....
Posted on: March 5th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Mussa Ali Mussa ameupongeza Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki – EAMCEF, kwa kuhamasisha utunzaji wa mazingira na kuwapatia wananchi waishio karibu ...