Posted on: August 1st, 2023
Mkuu wa Morogoro Mhe. Adam Malima amesema Mkoa kupitia sekta ya kilimo umejipanga kufufua mazao ya kimkakati yakiwemo pamba na kahawa ambayo awali yalikuwa yakizalishwa kwa wingi katika Mkoa huo.
...
Posted on: July 29th, 2023
Wajumbe wa kamati ya uongozi wa Taifa wa mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF) wameridhika na utendaji kazi wa mradi wa mfuko huo na kuwataka viongozi wa TASAF kutoa taarifa sahihi na kwa wakati kwa wan...
Posted on: July 28th, 2023
Balozi wa Japan hapa nchini Mhe. Yasushi Misawa amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima ofisini kwake leo Julai 27, 2023 na kujadili masuala kadha wa kadha ya kimaendeleo.
...