Posted on: June 16th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewataka wadau wa mazingira kuunga mkono kampeni mbalimbali zinazolenga utunzaji wa mazingira katika Mkoa huo ili kutapunguza uharibifu wa mazingira.
...
Posted on: June 16th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewapongeza wafugaji wa Wilaya ya Mvomero kwa kuwa na mchango mkubwa katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo.
Mhe. Malima...
Posted on: June 14th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewapongeza Masista wa upendo wa Mtakatifu Fransisko kilichopo Mbingu Wilayani Kilombero Mkoani humo kwa uwekezaji wanaoufanya katika Sekta ya kilimo...