Posted on: August 1st, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa reli ya kisasa kipande cha Dar es salaam hadi Dodoma utagharimu zaidi ya Tsh. Trilioni 10 hadi kukamilika kwake.
...
Posted on: July 27th, 2024
MKOA WA MOROGORO WAJIPANGA KUTANGAZA VIVUTIO/ KUKUZA UTALII.
Serikali Mkoani Morogoro kwa sasa inajipanga kwa ajili ya kuweka mazingira na mikakati madhubuti ya kutangaza vivutio vilivyopo...
Posted on: July 26th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewataka watanzania wote kuwa wazalendo katika kujitoa kwa ajili ya nchi kama ilivyokuwa kwa mashujaa wetu wakiwemo mashujaa wa Morogoro waliopigana ...