Washiriki wa mafunzo yanayohusu mtaala ulioboreshwa na uimalishaji wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu

Washiriki wa mafunzo yanayohusu mtaala ulioboreshwa na uimalishaji wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Dr. Siston Masanja (Mwenye suti nyeusi walio kaa) mara baada ya kufungua mafunzo hayo yanayofanyika katika chuo cha ualimu cha Morogoro. Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho  Ndugu A. J. Sahili.